Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

How about CR7 (the world's most egotic player)?

Messi kacheza fainali ya kwanza akapoteza, hii ya pili tena ingekuwa ni gundu kupoteza...

Messi tayari ana rekodi nyingi WC zenye kaliba sawa na wakongwe wa zamani...

CR7 hana historia nzuri WC...
 
SCARS kimbia ujionee hapa, Tukayaita Argentina mbeleko FC yanakataa, VAR ni ujinga tupu wala hauna maamuzi yoyote kwa mpango wao wa FIFA [emoji23]

Ndiyomaana Muamuzi wa pembeni alionesha kibendera lakini Refa akajizima data [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu huna macho au ni vipi ivi apo offside ipo wapi uon beki wa France kazid makario wa Argentina kazidi nini mkono ahuusiki ujue
 
wewe mbappe wako amekosa kombeee
we ulisema messi apate tuzo zote lakini sio kushika kombe sasa kimemgeukia mbappe
nampenda ila hili kombe halikuwa lake.
kimbia yote ile toka day one amerudi mtupu....poor him
Mbona kama umechanganyikiwa mkuu? Ndio furaha ya ushindi au?
 
Hao Kenge hawawezi kumsifia Mbappe hata sekunde 1 sababu ya mahaba niuwe tu kwa Miss wao [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Niliwakataza niliwaambia huyo sio mtu wa nature hiyo

Ila dogo ni hatari yani kiukweli anastahili kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani, ni hatari huyu dogo...
 
ni kweli ila ukishaenda penalty ndo basi tena
Muwe mnaheshimu mawazo yetu sisi tunaoangaliaga mbali kuwa tayari FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo wa kombe la dunia na timu yao 2022, si umeona sasa nilichonena kimedhihirika [emoji848][emoji3]

PELE ngozi nyeusi na Weupe wanateswa sana na hicho kitu ni heri awe ngozi nyeupe "Miss" kuliko PELE MFALME WA SOKA duniani [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom