Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
namjibu scars aliyesema hataki messi aliguse kombeMbona kama umechanganyikiwa mkuu? Ndio furaha ya ushindi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namjibu scars aliyesema hataki messi aliguse kombeMbona kama umechanganyikiwa mkuu? Ndio furaha ya ushindi au?
Ulibeti?[emoji2][emoji2]Yaani mpira umeniliza leo, sitaki tena haya mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Scars Nakusalimia mtani, pole ndiyo mpira tena...
Nimekusoma mkuunamjibu scars aliyesema hataki messi aliguse kombe
Kwa kweli sikutegemea kabisa kama Ufaransa angekuja na ile come back...nilikuwa nasubiria wapige cha tatu nizimee TV.Hii ndo maana halisi ya neno mpira unadunda[emoji1]
ila kama uzi umezidiwa hivi ukipost havipostikiNimekusoma mkuu
Hongereni ila Mbappe ni kiumbe kutoka galaxy za mbali hukohahahahaha kikubwa kombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mwamuzi wa pembeni alinyosha kibendera lakini Refa akajizima data maana mpango wa FIFA ulishajulikana tu Miss Penalty na Mbeleko FC/Argentina wapite ila ukiiangalia picha vizuri kwa teknolojia ya VAR Mchezaji wa Mbeleko FC kazidi vidole [emoji38][emoji116]Ndugu yangu huna macho au ni vipi ivi apo offside ipo wapi uon beki wa France kazid makario wa Argentina kazidi nini mkono ahuusiki ujue