Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Naombeni mwenye full tweet ya hii. Yni aliyei tweet jina lake au picha ful
255738621970_status_324ab8e80f0f4d67a08d9e43fc2b5c0b.jpg
 
Mbappe ana huzuni sana maskini

Watajua wenyewe
Mpira kwao ajira, wengine mpira kwetu starehe.. kama hangover ya pombe ‘ukilala ukiamka imekata
 
Back
Top Bottom