Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
nilikosa raha hadi sasa hivi siamini kama kombe tunalo mkononi....Kiukweli kuna muda baada ya kusawazisha ilikuwa inatokea nataka timu yangu ishinde lakini kila nilipokuwa namuangalia Di Maria akiwa analia, huruma inanijaa nafikiria vitu vingi.
Mchezaji ambaye ameonesha jitihada sana katika yale magoli mawili na jinsi gani haya mashindano aliyapa value halafu dakika za mwisho akiwa yupo nje mabao yote yamerudishwa??
Aisee mpira ni mkusanyiko wa hisia, hata humu nyinyi wenyewe mliodhani zile goli 2 ndio zingewafanya mmalize dakika 90 mkiwa mmwshinda, wote mlipoteana humu.
kocha atajifunza safari nyingine