Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nawashukuru wote tuliokuwa hapa kwa muda wa mwezi mzima na kuhanikiza Argentina kutwaa ubingwa.
996DA268-1F50-4525-8315-A5E1567B976B.jpeg
 
Mbappe ni mchezaji mzuri ila hayupo kwenye daraja la Messi .. bado ana safari ndefu sanaaaa mkuu.. Messi ana ka ulimwengu kake, Mbappe akaze tu
Tatizo Mbappe ni ngozi nyeusi ila laiti angekuwa na ngozi ile kwa jinsi Miss penati alivyo na kashazeeka, huweziamini mpango wa kubebwa bebwa kama Miss ungeshaanza zamani sana tu ili awe mrithi wa Miss Penati.

Miss penati kalalamikiwa tuzo zote za balloon D'O 2010 na 2020 ambazo ingebidi wabebe Iniesta na Lewandosky.

Mchezaji yupi tofauti na Miss penati aliwahi kulalamikiwa kupewa tuzo ya bure zaidi ya Miss penati pekee [emoji848][emoji16]
 
Much respect to Mbappe. Dogo yuko na potential kubwa sana ya kufanya makubwa. Anatakiwa tu kufanya maamuzi magumu atoke pale PSG. Akicheza pale Madrid, kuna uwezekano mkubwa akafikia records za hawa legends.

Hii ilikua fainali ya kiume sana. Ila kama kawaida, wahuni wameshinda. Nashukuru Mbappe kafunga penati kadhaa leo, ili zile kelele za Messi kufunga penati zisiwepo!

Scars na Saint Anne, kuweni na usiku mwema.
Kwan pale psg hawez kuwafkia?
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Tatizo Mbappe ni ngozi nyeusi ila laiti angekuwa na ngozi ile kwa jinsi Miss ambavyo kashazeeka, huweziamini mpango wa kubebwa bebwa kama Miss ungeshaanza zamani sana tu ili awe mrithi wa Miss Penati.

Miss penati kalalamikiwa tuzo zote za balloon D'O 2010 na 2020 ambazo ingebidi wabebe Iniesta na Lewandosky 2020.

Mchezaji yupi tofauti na Miss penati aliwahi kulalamikiwa kupewa tuzo ya bure zaidi ya Miss penati pekee [emoji848][emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom