Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tatizo Mbappe ni ngozi nyeusi ila laiti angekuwa na ngozi ile kwa jinsi Miss penati alivyo na kashazeeka, huweziamini mpango wa kubebwa bebwa kama Miss ungeshaanza zamani sana tu ili awe mrithi wa Miss Penati.

Miss penati kalalamikiwa tuzo zote za balloon D'O 2010 na 2020 ambazo ingebidi wabebe Iniesta na Lewandosky 2020.

Mchezaji yupi tofauti na Miss penati aliwahi kulalamikiwa kupewa tuzo ya bure zaidi ya Miss penati pekee [emoji848][emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
We akili huna yaani kimbappe hakijitambua ndo umfananishe na messed una wazimu sana.

Kale katoto kanakimbia kimbia tu hakana skills ndo uje fananisha na comlete player kama Messi..Kuwa na adabu!!
 
Tuache ubaguzi wa rangi.. Kuna Ronaldinho Gaucho hakuwa mzungu, ila shughuli yake haikuwa pevu.. Mbappe ni mchezaji mzuri ila ana safari ndefu
 
We akili huna yaani kimbappe hakijitambua ndo umfananishe na messed una wazimu sana.

Kale katoto kanakimbia kimbia tu hakana skills ndo uje fananisha na comlete player kama Messi..Kuwa na adabu!!
Mkuu kama anakimbikimbia wasingeenda matuta

Mbappe ni mchezaji bora pia japo kwa mafanikio itakua ngumu kumfikia messi ila ni mchezaj mzur
 
Back
Top Bottom