Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ndugu yangu huna macho au ni vipi ivi apo offside ipo wapi uon beki wa France kazid makario wa Argentina kazidi nini mkono ahuusiki ujue
Mwamuzi wa pembeni alinyosha kibendera lakini Refa akajizima data maana mpango wa FIFA ulishajulikana tu Miss Penalty na Mbeleko FC/Argentina wapite ila ukiiangalia picha vizuri kwa teknolojia ya VAR Mchezaji wa Mbeleko FC kazidi vidole [emoji38][emoji116]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…