Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

KILA KOMBE alilokuwamo, KABEBA.

KILA TUZO aliyokuwamo, KABEBA.

HAKUNA KITU (AWARDS & TROPHY) ambayo ameipambania, akaikosa.

Alafu anakuja mvimbiwa kande anaanza kumwaga mashudu kuhusu Messi.

Kama unabisha, tuletee STATS za kiumbe chochote kinachocheza mpira chenye rekodi hiyo.
 
Unajua mwamuzi wa Kati maelekezo yake ya Mwisho anapokea toka wapi
 
wewe mbappe wako amekosa kombeee
we ulisema messi apate tuzo zote lakini sio kushika kombe sasa kimemgeukia mbappe
nampenda ila hili kombe halikuwa lake.
kimbia yote ile toka day one amerudi mtupu....poor him

Mbappe hajarudi mtupu , mfungaji bora wa michuano.
In the end kuwa bora hakusaidii kama umezungukwa na wachezaji wabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…