Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

KILA KOMBE alilokuwamo, KABEBA.

KILA TUZO aliyokuwamo, KABEBA.

HAKUNA KITU (AWARDS & TROPHY) ambayo ameipambania, akaikosa.

Alafu anakuja mvimbiwa kande anaanza kumwaga mashudu kuhusu Messi.

Kama unabisha, tuletee STATS za kiumbe chochote kinachocheza mpira chenye rekodi hiyo.
Screenshot_20221218-212428.jpg
Screenshot_20221218-212438.jpg
Screenshot_20221218-212453.jpg
Screenshot_20221218-212458.jpg
Screenshot_20221218-212438_1.jpg
Screenshot_20221218-212453_1.jpg
Screenshot_20221218-212733.jpg
Screenshot_20221218-212749.jpg
Screenshot_20221218-212805.jpg
 
Mwamuzi wa pembeni alinyosha kibendera lakini Refa akajizima data maana mpango wa FIFA ulishajulikana tu Miss Penalty na Mbeleko FC/Argentina wapite ila ukiiangalia picha vizuri kwa teknolojia ya VAR Mchezaji wa Mbeleko FC kazidi vidole [emoji38][emoji116]View attachment 2451081

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unajua mwamuzi wa Kati maelekezo yake ya Mwisho anapokea toka wapi
 
wewe mbappe wako amekosa kombeee
we ulisema messi apate tuzo zote lakini sio kushika kombe sasa kimemgeukia mbappe
nampenda ila hili kombe halikuwa lake.
kimbia yote ile toka day one amerudi mtupu....poor him

Mbappe hajarudi mtupu , mfungaji bora wa michuano.
In the end kuwa bora hakusaidii kama umezungukwa na wachezaji wabovu
 
Back
Top Bottom