Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Unajua mwamuzi wa Kati maelekezo yake ya Mwisho anapokea toka wapi
Toka FIFA ili PELE MFALME WA SOKA duniani awe sawa na Miss penati [emoji1787]

Yani vidole vimezidi kabisa mstari lakini bado tu unakaza fuvu sababu ya mahaba niuwe daaah [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • JamiiForums-1394873182.jpg
    37.2 KB · Views: 5
sababu di maria alitoka ......ila alikuwa hafurukutiiii. makosa ya kocha wetu
Kiukweli kuna muda baada ya kusawazisha ilikuwa inatokea nataka timu yangu ishinde lakini kila nilipokuwa namuangalia Di Maria akiwa analia, huruma inanijaa nafikiria vitu vingi.

Mchezaji ambaye ameonesha jitihada sana katika yale magoli mawili na jinsi gani haya mashindano aliyapa value halafu dakika za mwisho akiwa yupo nje mabao yote yamerudishwa??

Aisee mpira ni mkusanyiko wa hisia, hata humu nyinyi wenyewe mliodhani zile goli 2 ndio zingewafanya mmalize dakika 90 mkiwa mmwshinda, wote mlipoteana humu.
 
Kuna mtu mmoja pale na kanzu yake swafiii na kilemba hataki kuguswa mkono wala kukumbatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…