Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

nilikosa raha hadi sasa hivi siamini kama kombe tunalo mkononi....
kocha atajifunza safari nyingine
 
viatu vya messi ni vikubwa sana kwa mbapeee 😅😅😅 leo naona kijana kajua nani mkubwa kati yake na GOAT
Sasa mkuu mbappe hana hata ballon d or moja

Na akibaki PSG hatakaa apate hata moja unamlinganisha na mtu mwenye ballon d or 7 na anapewa ya 8 kesho kutwa apo

Kweli??

Makombe na vitu walivofanya messi anamzidi kila mahali hata kiumri tu

Muacheni mbappe bana

Lakin hata hii mechi mbappe kaperform zaid ya messi ila huwez walinganisha
 
Ndo mana watu hd wanazimia wengine kufa, dah mpira ni zaidi ya hisia.
 
Vamos Argentina tuombeane 2026 tuwe wazima turudi tena kweny matani yetu japo Messi anaweza kuwa kastafu utamu utakua umepungua
 
Hongereni, sisi tumekubali kushindwa, tunekubali Messi ni GOAT, tumekubali kuwa Messi vs CR7 basi mtu mfupi yuko juu. Tumekubali.

Ila Mbappe anakuja kwa kasi sana.
Umeona mfalme alicho valishwaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 Messiiiiiiii
 
Naku elewesha tena ndugu mkono ahuusiki kwenye mpira zaidi ni goli kipa Tu ivo vidole vipo kichwani?? Si mkononi ile penati ya mwisho ya France si mchezaji wa ARGENTINA MABINGWA WA DUNIA mpira ulizuiliwa na mkono ndio ikawa penati mbape akafunga kama mkono unahusika ile penati ilitokana na nini?
Mkono ndio ulileta penati autakiwkucheza mpira kama ni ivyo ile penat ya kunawa ya france basi sio halali au jibu ile penat ilitokana na nni?
 
Hongereni, sisi tumekubali kushindwa, tunekubali Messi ni GOAT, tumekubali kuwa Messi vs CR7 basi mtu mfupi yuko juu. Tumekubali.

Ila Mbappe anakuja kwa kasi sana.
Messi asifananishwe na ujinga wwte tangia Leo , sio Pele wala Maradona wote weka kwenye dustbin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…