Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

We akili huna yaani kimbappe hakijitambua ndo umfananishe na messed una wazimu sana.

Kale katoto kanakimbia kimbia tu hakana skills ndo uje fananisha na comlete player kama Messi..Kuwa na adabu!!
 
Tuache ubaguzi wa rangi.. Kuna Ronaldinho Gaucho hakuwa mzungu, ila shughuli yake haikuwa pevu.. Mbappe ni mchezaji mzuri ila ana safari ndefu
 
We akili huna yaani kimbappe hakijitambua ndo umfananishe na messed una wazimu sana.

Kale katoto kanakimbia kimbia tu hakana skills ndo uje fananisha na comlete player kama Messi..Kuwa na adabu!!
Mkuu kama anakimbikimbia wasingeenda matuta

Mbappe ni mchezaji bora pia japo kwa mafanikio itakua ngumu kumfikia messi ila ni mchezaj mzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…