nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 492
- 664
LIONE MESS kwa herufi kubwa ni king ni mchezaji Bora kabisa lakini kutokana na kukosa kombe la dunia alikua anaonekana ni rofa au Fala flani kule ARGENTINA nimeandika kwa herufi kubwa sabab ni mabingwa sababu DIEOGO MARADONA alikua Bora dunian na alibeba world cup saiz anayo heshima katimiza kile wa ARGENTINA wali hitaji.Anaonewa kweli mkuu
Wewe lejendi anaekwa benchi wedi kapu
Ana haki ya kulalamika
Ila ndo hivo tena umri umemtupa mkono
Hatimaye yametia japo ilikuwa pressure juuamina utukufu umrudie Mungu muumbaji.
Eti "Mhh Hawa si wAHA Hawa jamani "Basi mwambie ni watanzania.
tuhamie Rugby 😅😅Dada mie mpira sitaki tena🤣🤣🤣🤣
🌏🌏🌍Ufaransa wanaingiza wakosa penati sasa
Dogo anakuja kuwa on 🔥🔥🔥🔥 miaka kadhaa ijayo!Zile dakika 70 za mwanzo ilikua hatari tupu 🤣! Nivile tu wamebeba Kombe ilaaa Mbapeee yuko juuu
AmeeenEndelea kuota.....Argentina world cup done......man city uefa loading
Haaland kiatu, arsenal ndoo!!Nawashukuru wote tuliokuwepo toka 20 November...sasa turudi kwa Halaand
😅😅😅😅 banaaa eee shangazi leo nafuraha sana ingawa kunakipindi nilihisi nimeingia cha kike kushabikia mpiraaa nikatulia kitandani kama mgonjwaa .. sasa wachaaa tukafurahiieeeMabalaaa....ukucha🤣🤣🤣🤣
Hao Kenge hawana akili kabisa [emoji1787]
yanii france niliiogopa sana ila di maria aliwazima hadi pale kocha alipofanya makosa.....Hatimaye yametia japo ilikuwa pressure juu
We mdada kuanzia leo Mimi nakusimika unabii utake usitake ushakua nabii ..Mungu nimekuita kwa ajili ya Argentina tangu waaibike kwa mechi ya saudi na nikauona ukuu wako. Mungu naomba leo ukajidhihirishe tena ili hata asiyekuamini akuamini. Wapatie Argentina ushindi. Nitarudi hapa baada ya ushindi. Maana Mungu niliyemuita Mungu wa mama yangu hawezi niabisha. Watch and see His greatness
Dogo ni Hatari nanusu....balaaaa jingineeeDogo anakuja kuwa on 🔥🔥🔥🔥 miaka kadhaa ijayo!
Huku nusu watu wauane kisa nani GOAT ..leo Mbape asingefunga yale mawili..jamaa angeondoka na vidude vyote.🤣🤣🤣🤣🤣 EPL woyoo
Ya kuogea labdaHaaland kiatu, arsenal ndoo!!
Mbape is just 23 usisahau HiloMkuu kama anakimbikimbia wasingeenda matuta
Mbappe ni mchezaji bora pia japo kwa mafanikio itakua ngumu kumfikia messi ila ni mchezaj mzur
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti "Mhh Hawa si wAHA Hawa jamani "