Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ma hater haitabadilisha kuwa Messi ni GOAT na kama atastaafu anastaafu kwa heshimaa.. yani hela zake anakulisha ww na ukoo wako mwaka mzima...ukimchukia hakujui unaemia ni wewe tuu huko nanjilinji mm ndo maana siwekagi chuki na walionizidi fwedhwaaa sasa unamchukia Cr7 kwa kipii??? Sema tu ni ile ushabiki ila ile mpk chuki kabisaaa mtu anakomaa lol
 
Kwan bono hakuwepo apewe golden gloves
Yani aachwe aliyeibeba timu yake kuipa kombe la dunia, aliyeipitisha timu yake mara mbili kwa kuokoa michomo ya penati, apewe Bono? Kwa kipi alichomzidi Martinez?
 
Ila next wc Messi hatakuwa na lake atakuwa amekuwa kibabu
 
Huwezi mfananisha Robinho na huyu dogo, at 23 mtu kama robinho hakuwa na lolote la kujivunia. Huyu ana ndoo ya WC na mengine mengi, achievement ya wedkap hii tu inatosha, hat trick a fainali hii tu ni gumzo, mpe heshima yake dogo Mbappe
Robinho wengi pia walikuwa wana mkweza kuja ku takeover ... Mbappe yupo vizuri sana ila ana kazi ya ziada mzee.. tuache na Cillah tukajipongeze haya mambo ya Mbappe tutayajadili mwakani tukirudi
 
Mbappe ni mzuri but is not natural born talent yupo kama Christian Ronald jitihada binafsi ndizo zinamuweka kwenye chati.
Wachezaji wengi wanao acha legacy nzuri kisoka ni wale ambao wanao dribble mpira/kupiga chenga kwa kiasi kikubwa na sio kukimbizana na Mpira.ndio maana gaucho amecheza kipindi kifupi kuliko CR7 lakini ukiwaleta katika mizani watu watamchagua Ronaldinho Richard ya kuwa na tuzo chache kuliko CR7.
 
Baada Morocco kuwapiga kina Ronaldo niliuchukia sana uzi....nikahamia Morocco..nao wakaja kuliwa kidevu
 

Chuki zitakuua kunywa maji mengi moyo ueleee utakufa kwa stress. Nyie ndo mlikua mnasema Argentina anatoka kwenye makundi. Mbappe hata level za Ronaldo hajafika ndo mmfananishe na Messi?? Nyie watu mna akili kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…