Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kipindi cha Messi na CR7 kimeisha sasa na inatosha. Dunia ya Soka ianze kukuza kizazi kipya, tuone damu mpya zikishindania mchezaji bora. Messi na aliyekuwa anampa changamoto yaan CR7 wabaki kwenye historia. Ni wakati wa kuwainua kina Mbappe, Halland na wengineo, Burudani ya soka na iendelee. Ni bahati kuwashuhudia CR7 na Messi wakicheza.
 
Na kitoto chenu kimepewa penati 2 leo, muongee tena. 😁😁😁
Kunywa maji uje uedit ulichoandika hapo
Hongera Argentina na Messi kwa kutwaa kombe la dunia kwa mara ya tatu ila Pele bado atabaki the greatest footballer of the all time kwa kutwaa taji hilo mara tatu kitu ambacho wachezaji wengi wameshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…