Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

hatubishani tena sisi post zetu za kushangilia tuuu
 
Walibonga mbovu since game ya Saudi Arabia, ila vidume tulisimamia msimamo wetu.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Kabisa kaka wanaume tukasimama na team yetu.

Hlf leo wanakuja kutia huruma hapa na wao ss ni mda wao watulie tunaongea Mabingwa hapa.

Kwnz mkuu usibishane na Takatak yoyote kwa sasa hawama tena class ya kuongea na Mabingwa wa Dunia

We're the NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS [emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
hatubishani tena sisi post zetu za kushangilia tuuu
Basi kumbe unajua protocol saiv sisi post zetu za kupost tu ubingwa bas.

Mda wa kubishana ss umeisha.

Mabingwa wapya ndo sisi.[emoji1033][emoji1033]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooos Nakadori [emoji1033]
 
Kwanza kuanzia leo salamu yangu hata nikipost uzi itakuwa vamos
Tena hii ndo umenipa new rule kns.. Iwe hata unachangia kwny mada nyngne majukwaa mengne Yan usisahau utambulisho wetu.

Naomba symbol yetu iwe ivi..

Vamooos[emoji1033]

Yan Vamos tunaweka na kabendera ke2 au unasemaje mamaah?
 
Kwa kweli nilibadili channel nikaanza kuangalia muziki...aisee Lile bao la pili la mbappe liliniliza...cm niliweka mbali kabisa..
Sasa najiuliza Kama Mimi naumia hivi hao wenyewe wanaumia kiasi gani
 

Imeisha mkuu, hakuna kuzipa airtime hizi mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…