Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Yan mkuu mm kama ww tu.. Asee nilichekwa na kutaniwa sana nikawa natumiwa kila memes.. Tena tukaitwa sisi ni failures na Messi hatakaa maisha yake yote kushinda kombe na Argentina.
Lkn Mungu alivo na maajab yake tumeshinda makombe yote matatu ndan ya miaka miwili tu 2021&2022
And finally we're the NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]
VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS [emoji1033]
Dah umenikumbusha na ile game pia asee jamaa ukifatilia stry yake ya mpr had leo hii ni bingwa wa dunia.. Asee inakupa sana motivation kwny maisha pambana usisikilize maneno ya mtu anaitwa mwanadamu atakukatisha tamaa.The same kwenye ile game na Ausi, dakika za majeruhi angle hiyo hiyo alifanya save ya hatari mnoo[emoji1487]
Talent kubwa sana, upambanaji wa hali na mali jamaa namuona kabisa akisajiliwa club kubwaVery unsung hero jamaa kapiga mpr mwng sana tournament hii Kacheza vzr na kwa moyo m1 sana asee.
Yan asee kijana alikua vzr sana game krbia zote alizo cheza.
Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
Dah umenikumbusha na ile game pia asee jamaa ukifatilia stry yake ya mpr had leo hii ni bingwa wa dunia.. Asee inakupa sana motivation kwny maisha pambana usisikilize maneno ya mtu anaitwa mwanadamu atakukatisha tamaa.
Leo hii ndo amekua mtu wetu wa muhm baada ya Messi amekua ndo anaokoa 1v1 nyng za kutuweka kwny game Na amekua ndo anasave penalty za kutuvusha na had leo hii ni Mabingwa wapya wa dunia.
Vamoooooooooooooooooos [emoji1033]
MESSI THE GREATEST FOOTBALL PLAYER OF ALL TIMES [emoji238]
Yan the stry ya hii team ni fighting spirit kila. Mtu anajitoa.. Hat kwny moment ngumu kama za game ya Holland na ya leo hii ambapo tuli give away a 2 goal caution lkn bado tulipambana na kwend kushinda na kubeba kombe asee hii team watu walikua wanatuchukulia poa kwa sbb ya chuki na Messi lkn sisi tumecheza mpr wa kikubwa sana baada ya ile game ya Saudi.Talent kubwa sana, upambanaji wa hali na mali jamaa namuona kabisa akisajiliwa club kubwa
Tena nakumbuka vzr alikuja pata nafas game ambayo kipa wa Arsenal yule mgerumani Leno kama sijakosea aliumizwa na Maupay ile. Game ya Brighton ndo potential yake sik ile. Ikaanza onekana.Haipingwi hiyo mkuu, DIBU alikaa benchi pale Arsenal kwa takribani 10yrs.
Ndiyo akatimkia Aston Villa na nyota yake ikaanza kung’ara, hatimaye amekuja kuwa Kipa bora wa WC 2022.
Never give up kabisa chini ya hili jua[emoji1491]
Dah ilikua noma Sana..Mara unune mara uchekeKwa kweli nilibadili channel nikaanza kuangalia muziki...aisee Lile bao la pili la mbappe liliniliza...cm niliweka mbali kabisa..
Sasa najiuliza Kama Mimi naumia hivi hao wenyewe wanaumia kiasi gani
Hakika Asante snaa mkuu.. Fair play kama hizi ndo tunazihitaj aseeHongereni Argentina kwa kutwaa Kombe la Dunia 2022.
EPl mm ni mshabiki wa Liverpool nawapenda mnoo sema muda wa kuangalia hizo mechi ndo sinaa mpk iwe zali unikute nimekaa mahali..
Messi alistahili sanaHakika Asante snaa mkuu.. Fair play kama hizi ndo tunazihitaj asee
Vamooooooooooooooooooooooos[emoji1033]View attachment 2451349
KweliMimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa ID kama zote legend mwenyewe