Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Yan mkuu mm kama ww tu.. Asee nilichekwa na kutaniwa sana nikawa natumiwa kila memes.. Tena tukaitwa sisi ni failures na Messi hatakaa maisha yake yote kushinda kombe na Argentina.
Lkn Mungu alivo na maajab yake tumeshinda makombe yote matatu ndan ya miaka miwili tu 2021&2022
And finally we're the NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS LA ALBICELESTE [emoji1033]
VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS [emoji1033]
Kuna baadhi niliyosoma nao wamenitafuta kunipa hongera pia na uvumilivu na subra yangu ilivyokuwa kiwango cha lami[emoji28][emoji28]