Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hahahaha Mbappe bana alipotezwa kipindi cha kwanza vibaya mno lkn kipindi cha pili akarudi na brace then extra time ikakamilika Hat trick.
 
Unaongea ujinga mtupu , who is Pele , who is Maradona hebu tupa hzo takataka huko
 


Dakika 90? Ina maana kwenye zile 30 za nyongeza hawakufungana au huwa hazihesabiwi ni kama za kufikirika?
 
Ushindi huu ni kwa mashabiki maandazi na wachambuzi uchwara wote ...
Yaani Messi10 unamlinganisha na Mbappe, mtoto Bado ananuka mkojo!!! Kenchy type.... Kudakudaaadek....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…