Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sina cha kuongeza zaidi ya kusema our coach Lionel Scaloni deserves a massive respect kajenga team kujiamin na kupambania sana uzi wa Albiceleste.

He's the master mind[emoji817]

Vamooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
Kufunga magoli kombe la Dunia na kuwa mfungaji bora sio kitu cha ajabu hata harry kane alikuwa mfungaji bora msimu uliopita

Ninachopenda nikwambie mpira wa mbape ni wa kawaida akifika 27 atakauwa kajichokea
Huwezi mfananisha Robinho na huyu dogo, at 23 mtu kama robinho hakuwa na lolote la kujivunia. Huyu ana ndoo ya WC na mengine mengi, achievement ya wedkap hii tu inatosha, hat trick a fainali hii tu ni gumzo, mpe heshima yake dogo Mbappe
 
Kufunga magoli kombe la Dunia na kuwa mfungaji bora sio kitu cha ajabu hata harry kane alikuwa mfungaji bora msimu uliopita

Ninachopenda nikwambie mpira wa mbape ni wa kawaida akifika 27 atakauwa kajichokea
Niambie mchezaji gani amewahi kufunga hat trick kwenye finals za world cup, dogo ameset record ya peke yake.
 
Niambie mchezaji gani amewahi kufunga hat trick kwenye finals za world cup, dogo ameset record ya peke yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kijana mimi sina wivu ninaongea mpira

Uchezaji wa mbape anatumia nguvu nyingi sana,mbio sana tena anacheza sehem moja tu ya uwanja

Huyo akifika miaka 27 anaweza kukosa timu kama ronaldo alivyokosa timu sasa

Katika umri alionao mbape,messi alishachukua mchezaji bora wa dunia

Na kukumbusha pia ufaransa anaweza asifike tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo

Huu ni mpira
Wivu utakuua

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…