Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ufaransa anaweza asicheze tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo

Nina experience na hili
 
Fuatilia fainali ya 1966 kati ya England na West German rhen rudi hapa tuendelee
Okay, so since 1966 ni miaka mingapi au world cups ngapi zimechezwa, hakuna aliyefanya hiyo kitu, hata Messi na Ronaldo pamoja na ubora wao wote, na levels kubwa walizofikia hawakuwahi kuset hiyo standard.

Give respect to the boy bwana!
 
Kijana mimi sina wivu ninaongea mpira

Uchezaji wa mbape anatumia nguvu nyingi sana,mbio sana tena anacheza sehem moja tu ya uwanja

Huyo akifika miaka 27 anaweza kukosa timu kama ronaldo alivyokosa timu sasa

Katika umri alionao mbape,messi alishachukua mchezaji bora wa dunia

Na kukumbusha pia ufaransa anaweza asifike tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo

Huu ni mpira
2026 Ufaransa ni bingwa.

Kuna mtu anacheza legelege bila nguvu kutumika!?
Wivu huo.

Kijana ni exceptional sana.

Huyo Messi katika umri wa Mbappe alishachukua kombe la dunia?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kijana mimi sina wivu ninaongea mpira

Uchezaji wa mbape anatumia nguvu nyingi sana,mbio sana tena anacheza sehem moja tu ya uwanja

Huyo akifika miaka 27 anaweza kukosa timu kama ronaldo alivyokosa timu sasa

Katika umri alionao mbape,messi alishachukua mchezaji bora wa dunia

Na kukumbusha pia ufaransa anaweza asifike tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo

Huu ni mpira
Kwa nini umeweka nadharia kwamba France hawezi fika fainali kwa miaka ishirini ijayo? Ndugu, wenzetu wana mikakati, wana mipango na wanawekeza, wanavutia talents kutoka mataifa yote duniani.

Uchezaji wa Mbappe na Henry una tofauti gani technically? Mbona Henry alicheza vizuri kwa mda mrefu sana?
 
Hongera mkuu very humble
Bar tuliyokua tunaangalia hii fainali kulikua kumejaa washabiki wa France na wapambe wa CR7; wakati Argentina wanakabidhiwa kombe tulijikuta tumebaki watu watatu na ndo tulikua washabiki pekee wa Argentina.

Tulishangilia mpk sauti zilikauka.

Wengi walitamani France ashinde ili Messi asimfunike CR7 lkn maombi ya wachache yalishinda.

Bado naendelea kumtukuza Mungu kwa Argentina kubeba kombe.
 
Asante malikia toka mwanzo ulisimama unachokiamini bila kujali matokeo ya mwanzo Mungu ni mwema ametuvisha taji

Kuna watu wana gundu na fungu la kukosa kila waliposhika Mungu aliwaabisha kwasababu ya chuki zao

Messi utamchukuaje? Tena huyu messi wa 2022 hivi wangemtazama messi yule wa gardiola si wangechukia mpira!

Ukimchukia messi automatically hujui mpira
Kwenye kikao chetu cha jana usiku wa manane tulikubaliana huwa hatujibu wajinga...tunashangilia ushindi tuuuuu. Ukishindwa kabisa mjibu kwa picha mojawapo wa jana baada ya ushindii
 
Ulishawahi sikia messi amepata injury? Jamaa mtaalamu wake wa nutrition anampatia sana

Huyu mpishi wa messi na mtaalamu wa vyakula anakutia pesa ndefu zaidi km mwajiriwa wa messi
Kweli jamaa kuumia nadra sana
Ila 2026 sidhan kwa jinsi anavyotroti sahv miaka mi4 mbele itakuwa ni lawama
 
Hivi ile fainali muda wa kutype unatoka wapi
Yaani mfanye mjadala na wadau mnaoangalia wote
Mshangilie goli
Mfungwe

Muda wa matuta

Nakuambia tena utarudi kusoma in the coming years

Mbape ni mchezaji wa kawaida hawezi kufikia hata nusu ya messi mpaka anastaafu

Mechi za timu za taifa ni chache sana wala hazijengi jina la mchezaji

Mbape ana miaka 24 hana tuzo na yupo club ambayo yeye ana beef na messi na neymar

Aamue aondoke psg au ashawishi messi na neymar waondoke PSG
Ulkua umejfcha huko umeona ndoo imepatkana ndo wajileta mnafk ww
 
Tukisema Messi mapunye kirikuu nyundo katafututiwa kombe mnakataa aya VAR imemkuza Varane tako ili itoke Offside[emoji23][emoji23]limekuwa kama la irene uwoya [emoji23][emoji23]
IMG-20221219-WA0479.jpg
 
Tumpongeze kwasababu hana uzoefu lkn kafanya kitu kikubwa
Bado anaudhaifu nafikiri mashindano ya copa america atakuwa ameimarika zaidi

Naaamini Messi atacheza fainali zijazo kule kwao
Kijana ananidhamu ya kipekee
Sina cha kuongeza zaidi ya kusema our coach Lionel Scaloni deserves a massive respect kajenga team kujiamin na kupambania sana uzi wa Albiceleste.

He's the master mind[emoji817]

Vamooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]View attachment 2451994
 
Back
Top Bottom