vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Ufaransa anaweza asicheze tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo
Nina experience na hili
Nina experience na hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, so since 1966 ni miaka mingapi au world cups ngapi zimechezwa, hakuna aliyefanya hiyo kitu, hata Messi na Ronaldo pamoja na ubora wao wote, na levels kubwa walizofikia hawakuwahi kuset hiyo standard.Fuatilia fainali ya 1966 kati ya England na West German rhen rudi hapa tuendelee
2026 Ufaransa ni bingwa.Kijana mimi sina wivu ninaongea mpira
Uchezaji wa mbape anatumia nguvu nyingi sana,mbio sana tena anacheza sehem moja tu ya uwanja
Huyo akifika miaka 27 anaweza kukosa timu kama ronaldo alivyokosa timu sasa
Katika umri alionao mbape,messi alishachukua mchezaji bora wa dunia
Na kukumbusha pia ufaransa anaweza asifike tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo
Huu ni mpira
Mmeanza kutoka MafichoniSasa mbona unanicheka mkuu.
Kwa nini umeweka nadharia kwamba France hawezi fika fainali kwa miaka ishirini ijayo? Ndugu, wenzetu wana mikakati, wana mipango na wanawekeza, wanavutia talents kutoka mataifa yote duniani.Kijana mimi sina wivu ninaongea mpira
Uchezaji wa mbape anatumia nguvu nyingi sana,mbio sana tena anacheza sehem moja tu ya uwanja
Huyo akifika miaka 27 anaweza kukosa timu kama ronaldo alivyokosa timu sasa
Katika umri alionao mbape,messi alishachukua mchezaji bora wa dunia
Na kukumbusha pia ufaransa anaweza asifike tena fainali ya kombe la dunia kwa miaka ishirini ijayo
Huu ni mpira
Mimi mbona nipo toka jana mkuu! Tuliwaachia mda msherehekee.Mmeanza kutoka Mafichoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bar tuliyokua tunaangalia hii fainali kulikua kumejaa washabiki wa France na wapambe wa CR7; wakati Argentina wanakabidhiwa kombe tulijikuta tumebaki watu watatu na ndo tulikua washabiki pekee wa Argentina.Hongera mkuu very humble
Eeeeeeeh!!!Mimi mbona nipo toka jana mkuu! Tuliwaachia mda msherehekee.
Kwamba namiliki ID zaidi ya hii? Dah 🤣Eeeeeeeh!!!
Ach hizo Mkuu....
Ikiwepo kwa ID ipi hiyo?[emoji2]
Kwenye kikao chetu cha jana usiku wa manane tulikubaliana huwa hatujibu wajinga...tunashangilia ushindi tuuuuu. Ukishindwa kabisa mjibu kwa picha mojawapo wa jana baada ya ushindii
Nilinyamaza
Atakuwa ana 40
Kweli jamaa kuumia nadra sanaUlishawahi sikia messi amepata injury? Jamaa mtaalamu wake wa nutrition anampatia sana
Huyu mpishi wa messi na mtaalamu wa vyakula anakutia pesa ndefu zaidi km mwajiriwa wa messi
Ulkua umejfcha huko umeona ndoo imepatkana ndo wajileta mnafk ww
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba namiliki ID zaidi ya hii? Dah [emoji1787]
Hii tu natamani niachane nayo[emoji1787]
Sina cha kuongeza zaidi ya kusema our coach Lionel Scaloni deserves a massive respect kajenga team kujiamin na kupambania sana uzi wa Albiceleste.
He's the master mind[emoji817]
Vamooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]View attachment 2451994
Ahsante sanaPole dada
Niambie mchezaji gani amewahi kufunga hat trick kwenye finals za world cup, dogo ameset record ya peke yake.