WoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooTuzo yangu ya mshabiki bora inakwenda kwa Nakadori huyu dada alikua na Argentina bega kwa bega big up to you, you deserve it [emoji119][emoji119][emoji4]
Ohoooo, hii furaha hiiπ€£π€£π€£ππHii furaha inaweza kwenda hadi Mwakani panapo Majaliwa.
Nina furaha mno..
[emoji28][emoji28][emoji28]Ohoooo, hii furaha hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
hata kama sijui nakupunguzia nini mkuuHata usingetabiri we mpira hujui
Hakika wachambuzi wengi majuu wanasema ni fainali bora sana kuwai kutazamwe hivi karibuni. Nakumbaliana na wewe ilikua ngumu sana jana kujua kombe litaodoka na nani.. Hatimae wakapata nafasi sawa kumaliza utata kwa penati na mtoto mtukutu akafanya Martinez jambo lakeNipoze machungu basi my darling Captain π
Tukiweka ushabiki kando,mechi ya jana ilikuwa kali mno,hadi ikawa haieleweki nani atachukua.
Huyu jamaa ni nani mbona unampenda sana?
Huyu jamaa ni nani mbona unampenda sana?
Sema kamanda bado nawiwa sana kuipa support Furance ..unajua ukilicheki Chama langu Colombia na Furance mupira wao ni wakibabe babe sana. Mupira wao ni mtu kazi yani hamuna kuremba remba so naona kabaisa kuiweka Ajentina mbele ni kama nalisaliti chama langu Colombia π₯΄π₯΄π₯΄
Ohooo kumbe nilikosea, nilimaanisha namna anavyochambua na story zake za kahawa zinanogesha.Uandishi wa nini?
Our boyπ₯°ππ¨π΅π₯
Pole dada, Argentina sio Morocco wala England..Bobby jamani,ungana na mimi jamani tumshabikie yule dogo Mbappe.
Come on π,achana na vibabu.
Hao wanaoshinda tuzo za uchezaji bora wao nao waga wanacheza wenyewe.Heeeh kumbe kubeba makombe ya dunia mara tatu ndo unaitwa The greatest footballer of all time π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Kumbe alikuwa anacheza mwenyewe uwanjani ..?...π π
Lakini ndio ukweli. Mchezaji yupi katwaa taji mara tatu kama Pele au hamuoni hilo kwa kuwa sio mzungu. Bure kabisa.Huu ni mtazamo wako
Sahihi mkuu....limetimia.Na hii ndio sababu team Ronaldo wote tumeamia kwa Messi japo mara hii tu kumpa heshima yake... Jamaa anasitahiri achukue would cup