Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tuzo yangu ya mshabiki bora inakwenda kwa Nakadori huyu dada alikua na Argentina bega kwa bega big up to you, you deserve it [emoji119][emoji119][emoji4]
Woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Asante kwa kutambua mchango wangu lakini sote tupewe tuzo tulioteseka kufa kupona kupambania ushindi
Vamosssssssssssssssssssssss Argentina 🇦🇷
 
Hata usingetabiri we mpira hujui
hata kama sijui nakupunguzia nini mkuu
Mbona makasiriko
images - 2022-12-10T232622.063.jpeg
 
Nipoze machungu basi my darling Captain 😂
Tukiweka ushabiki kando,mechi ya jana ilikuwa kali mno,hadi ikawa haieleweki nani atachukua.
Hakika wachambuzi wengi majuu wanasema ni fainali bora sana kuwai kutazamwe hivi karibuni. Nakumbaliana na wewe ilikua ngumu sana jana kujua kombe litaodoka na nani.. Hatimae wakapata nafasi sawa kumaliza utata kwa penati na mtoto mtukutu akafanya Martinez jambo lake

YNWA
 
Mbappe.ni mzuri sana ila ataishia level alizoishia Thiery Henry a.k.a kipenzi cha waliosoma KLF
 
Heeeh kumbe kubeba makombe ya dunia mara tatu ndo unaitwa The greatest footballer of all time 🤪🤪🤪

Kumbe alikuwa anacheza mwenyewe uwanjani ..?...😅😅
Hao wanaoshinda tuzo za uchezaji bora wao nao waga wanacheza wenyewe.
 
Back
Top Bottom