Nilikua busy kidogo,Poa sana Best yangu...
Umepotea....
Nakutafuta kila mahali hupatikaniki...
Mwaka 1990 Argentina alifungwa mechi ya ufunguzi na Cameroon lakini alikuja kufika fainali na kufungwa na Ujerumani Magharibi.Kuna ukweli hata kuna mwaka Argentina alifungwa mechi ya kwanza hata France lakini mwisho wa safari ndio walichukuwa ubingwa. Ila hongera kwa Saudia kutoa burudani na hizi team ndogo zijifunze unaingia unajiami kama ngumi basi toe to toe sio unaenda kucheza na wakubwa mmejazana nyuma. Hongera sana Saudia mmetoa burudani na darasa kubwa sana.
Nimekubali mkuuUmeona kuhusu live play? Unamuona kabisa mtu anayecheza
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mmeshaanza mambo ya taifa stars nyie watu wa argentinaMwaka 1990 Argentina alifungwa mechi ya ufunguzi na Cameroon lakini alikuja kufika fainali na kufungwa na Ujerumani Magharibi.
Wamerudisha za janaJamani Msaudi akishinda leo wenye kampuni za betting watavuna sana madolali.
[emoji23].. Wnyw huku baada ya game ya Argentina tu wakaona ss imetosha wamekata.. Yan dah kaz kwl. Kwl.. Nabid nirud tena kwnu Dstv nowKaribu Tanzania nchi pekee ambayo ili uangalie kombe la dunia inabidi ununue king'amuzi cha dstv na jenereta
Umenikumbusha ile WC final South Africa ...Netherlands vs Spain...Huyu refa anaakiliii kichwani huyu mtu kavunjika Huku lenyewe linaendeleza mpira
Bongo tuna mikumbo sanaOooh Argentina anachukus ndoo, oooh nye nye nye[emoji23]
Tunisia wanaweza wakaleta suprise. Kombe la dunia hili.Mechi inayofata punde ni Denmark Vs Tunisia.
Denmark huwa ni dark horse...hawaimbwi sana lakini huwa wanatoa ushindani mzuri sana
Oooooh...Pole.Nilikua busy kidogo,
Kumbe na wewe unapitiaga hukuuu?