Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna ukweli hata kuna mwaka Argentina alifungwa mechi ya kwanza hata France lakini mwisho wa safari ndio walichukuwa ubingwa. Ila hongera kwa Saudia kutoa burudani na hizi team ndogo zijifunze unaingia unajiami kama ngumi basi toe to toe sio unaenda kucheza na wakubwa mmejazana nyuma. Hongera sana Saudia mmetoa burudani na darasa kubwa sana.
Mwaka 1990 Argentina alifungwa mechi ya ufunguzi na Cameroon lakini alikuja kufika fainali na kufungwa na Ujerumani Magharibi.
 
Muhindi baada ya mechi ya Argentina
577C126B-798F-4ED2-927A-AC2E9CB72DE2.jpeg
 
Back
Top Bottom