Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hyo gharama ni ya mechi moja tu ama
 
Ndo kufukuzwa huko sema tu wameisugarcoat,hawamtaki hata kwa bure
man U wangemfukuza kisheria wanatakiwa wamlipe mshahara wake wote, Ronaldo angekimbia UTD angehitajika kuwalipa, ila mutual termination ni makubaliano inamaana hakuna anaemlipa mwenzake. ukiona hivi kuna timu Ronaldo amepata na hio timu itamlipa hela nyingi sababu hakuna fee watakayolipa, signing fee itaenda kwa ronaldo.
 
Mexico vs poland

Game ilikua nzuri sana ila tatizo haina magori. Mexico ni kama alikua anataka kufanya jambo lakin wapi..!!

Lewandonski nayeye akatyanka kivyake.

Wacha tusubiri FRANCE vs AUSTRALIA labda kutakua na maajabu.
Maajabu yaliyopo kwenye game ya france na australia ni France kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema pamoja na interview alofanya kama angekaza fuvu akaendelea kuwepo man u wasingemfukuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…