Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wakuu mwenye kujua App ya kuonea mechi online( streaming)

Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
 
Nasikia timu ya Poland imesindizwa nchini Qatar na Ndege za kivita..ndege ya wachezaji iko kati huku midege ya kivita kwa pembeni.. watu wana mbwembwe
Sio mbwembwe ndio wanaonyesha wanavyothamini watu wao.
Huku africa tunasafirisha wachezaji ambao wanasafiri first class kwenye vilabu vyao sie tunawapandisha economy huku rais wa shirikisho na watoto wake wakiwa first class tafikiria wanacheza wao
 
Na mechi zinazohusisha Ureno ni kiasi gani cha fedha? Maana kule kuna mtu wa kuchafua hali ya hewa
 
Kwenda qatar kuangalia WC 2022 at least uwe na Mil 60 pa3moja na nauli

Chini ya hapo labda uangalie mechi 4 tu
Aisee iyo pesa ni mtaji wa jamaa fulani na ana vimba nao hatari...[emoji3][emoji3]

Kau-fair hivi ni kama hakuna
 
Ni kama kuchukua tahadhari maana kuna vita kwenye huo ukanda wao, pia kwenye kurudi watakuwa nao pale pale walipo waachia ndio hapo hapo watakapo wapokea kuwasindikiza mpaka nyumbani.
Nasikia timu ya Poland imesindizwa nchini Qatar na Ndege za kivita..ndege ya wachezaji iko kati huku midege ya kivita kwa pembeni.. watu wana mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…