Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Wakuu mwenye kujua App ya kuonea mechi online( streaming)
Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,me ni dada thoughTayar nshasema kaka
France anaishia makundi.
Game yake ya kwanza kupoteza ni ya saa nne usiku huu
FTA TBC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hints unazotoa hapa inaonesha ni mfuatiliaji mzuri wa kandanda uko vizuri sister 👏Huyu atakwenda Buyern Munich. Maana kule Mane anaumia umia sana. So Ronaldo atawafaa.
[emoji3][emoji3] ndyo kama maajabu aliyoyafanya Saudia ArabiMaajabu yaliyopo kwenye game ya france na australia ni France kufungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda qatar kuangalia WC 2022 at least uwe na Mil 60Aisee ukienda huko inatakiwa ujipange sana.
Walala hoi kama mimi uko hakutufai ata kiduchu
Yaccine tv ipo google.Wakuu mwenye kujua App ya kuonea mechi online( streaming)
Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
Sio mbwembwe ndio wanaonyesha wanavyothamini watu wao.Nasikia timu ya Poland imesindizwa nchini Qatar na Ndege za kivita..ndege ya wachezaji iko kati huku midege ya kivita kwa pembeni.. watu wana mbwembwe
Nimejaribu kuangalia bei za ticket ni kuanzia Us$ 95-750.
Mechi zinazohusisha Argentina ndio mechi tiketi zake zinauzwa kwa bei kubwa. Kuanzia $550+
Hii maanake ni kwamba Leonel Messi bado ni mtu muhimu sana kwwnye soka. Game zote za Argentina ni $550+
Game kati ya Spain na German nayo bei ya ticket ipo juu. $ 750. Hii ni kwenye round ya kwanza.
Hizi sii nyumba 3 mzeyaKwenda qatar kuangalia WC 2022 at least uwe na Mil 60 pa3moja na nauli
Chini ya hapo labda uangalie mechi 4 tu
Aisee iyo pesa ni mtaji wa jamaa fulani na ana vimba nao hatari...[emoji3][emoji3]Kwenda qatar kuangalia WC 2022 at least uwe na Mil 60 pa3moja na nauli
Chini ya hapo labda uangalie mechi 4 tu
NashukuruYaccine tv ipo google.
Sawa pilato😆Kwa huu mpira wa Mexico, Argentina ni bora aanze kufungasha virago vyake kabisa. Argentina ajipange kwa kombe la dunia lijalo hili la mwaka huu hana chake, tena ataishia makundi nafasi ya mwisho kabisa.
Nasikia timu ya Poland imesindizwa nchini Qatar na Ndege za kivita..ndege ya wachezaji iko kati huku midege ya kivita kwa pembeni.. watu wana mbwembwe
Yes mkuu mapema tuu France waanze kukodi ndege ya kurudi nyumbani ..hawapiti kwenye hili kundi[emoji3][emoji3] ndyo kama maajabu aliyoyafanya Saudia Arabi
Ratiba ya kesho.?Ila bongo sihamiView attachment 2424392