Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

4BC9C55E-F28A-472B-B54E-ED21161C90BA.jpeg
 
World Cup Village - hiki ni kijiji maalum kwa ajili ya mashabiki hapo Qatar ambapo kitakuwa kinalaza mashabiki watakaopenda kulala hapo maana kuna sehemu nyingine kama hoteli.

Kijiji hiko kimejengwa kwa makontena na kina vyumba takribani 6,000 (elfu sita).

Kulala hapo kwa usiku mmoja ni US Dollar 200 sawa na Shilingi za Kitanzania 466,400 kwa usiku mmoja tu.

Na tayari vyumba vyote elfu 6 vya kijiji hiko vipo booked (vimejaa)
View attachment 2413638View attachment 2413639.
Utafanyikq ufuska mkubwaa sanaaa kwenye hiz kontena
 
Back
Top Bottom