Kama vp aende kigoma huko wanatibu mifupa kwa kivuliSAĎIO lazima awepo kwenye kikosi kocha msaidizi wq bayern alisema jeraha alilopata siyo kubwa sana kwa siku zilizobaki akitumia miti shamba yetu mbona mapema tu anakuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vp aende kigoma huko wanatibu mifupa kwa kivuliSAĎIO lazima awepo kwenye kikosi kocha msaidizi wq bayern alisema jeraha alilopata siyo kubwa sana kwa siku zilizobaki akitumia miti shamba yetu mbona mapema tu anakuwepo
Njia ni moja tu ..nunua vochaNaomba unisaidie namna ya kupata GB za bure za Vodacom Tigo na Airtel.
Bora amefanya la maana maana hizi timu za africa ujinga mtupuTimoth Weah ambaye ni mtoto wa Rais George Weah wa Liberia atachezea timu ya taifa ya Marekani katika Kombe la Dunia huko QatarView attachment 2416501
Mendy kaachwa 😲😲😲😲Kikosi cha wachezaji 11 walioachwa bila ya kuwa majeruhiView attachment 2417245
Kaachwa wapi?Mendy kaachwa 😲😲😲😲
Sii national team ufaransaKaachwa wapi?
Yah kweli, nilijua Mendy wa ChelseaSii national team ufaransa
Huna akili.Aisee Argentina asipochukua hii ndoo mje mnikate mkuyenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Argentina ndo mdudu gani....!Huna akili.
Tupo pamojaI stand with France.
VIVA. LES BLEUS.... Hii ndio Chama langu enzi na enziMabingwa watetezi Ufaransa kabla ya kuelekea Qatar wakiww katika picha ya pamojaView attachment 2417696
Qatar nao wana monde yao?
Nimeona mahali unatafuta ajira pole sanaNaomba unisaidie namna ya kupata GB za bure za Vodacom Tigo na Airtel.
Ngumu kumesa hii.Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Unahangaika VP kumkoti MTU ambae hana akili mkuu......watu kama hao ni unawapuuza unaendelea na mambo yako......sina akili hivyo usinikoti tafadhaliHuna akili.