Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

 
Unahangaika VP kumkoti MTU ambae hana akili mkuu......watu kama hao ni unawapuuza unaendelea na mambo yako......sina akili hivyo usinikoti tafadhali
Naona umechukukilia siriaz,haya kazi iendelee.
 
Wakuu Naomba kujuzwa official song world cup 2022
Katika zote nzuri ni C'EST LA VIE umeimbwa na CHEB KHALED.

Huo ndio ulipaswa kuwa official song, sio takataka ya Davido na wahuni wenzake HAYYA HAYYA wa hovyo na hauna vibe kama wa huyo mvaa kobazi. Utafute utakuja kunishukuru hapa.
 
9D89EFFA-5855-4340-AC9F-250A7717EC84.jpeg
 
Back
Top Bottom