Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu usiyumbishwe bado mapema kukata tamaa....tutavuka tu hii stage liwake jua inyeshe mvua
Mkuu siwez kata tamaa hata kdg me naamin tunafuzu vzr kbs.

Kwa upande mwngne kufungwa huku inaweza kua jambo la muhm sana kua tumefungwa mapema, maana kuna feeling fulan ulikua unaiona kwa wachezaj(Body language) wakijua wao ni invincibles hawawez kuja kufungwa baada ya streak ndef ya game 36 bila kufungwa.

Hii ni wake up call kua tunahitaj kupambana kuanzia game ijayo kwa ngv zote.

Vamonos [emoji1033]
 
Hawa UTO wa ulaya wamekta moto sijui ni ile mihogo ya katari
 
Hawa uto hata kushmbulia wanaogopa πŸ˜‚
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…