$500,000 acha masikhara mzeee yaani dollar nusu million na gari juuu. Kwa kweli hawa jamaa watakufa uwanjani wafike robo.Nasikia dola laki tano kila mmoja plus makocha sijui technical yani kila aliyehusika na team mkweche na dusco
Utaona yaani ata senegal ajiamgalie maana qatar anaona hapo ndio pakutolea aibu asije fungwa mechi zoteMmmh let's see
We acha tu. Huyo okocha namtizama nashangaa. Jmn hela tamuOkocha mbona kama mdogo japo kastaafu soka kitambo. Mtafute sasa Haruna Moshi Boban popote alipo umuone
Hela ndugu.Okocha mbona kama mdogo japo kastaafu soka kitambo. Mtafute sasa Haruna Moshi Boban popote alipo umuone
KweliHela ndugu.
Hapo mtaani kwako tafuta mzee mwenye 60yrs then linganisha na KIKWETE mwenye 72yrs utashangaa.
Maza unaemsarandia eehHadi mama yangu wa kambo hapa alikuwa anajisemea hawa watafungwa goli tuu wakati mechi ipo 2-1. Kweli australia mdebwedo
Mechi za kesho zote tamuMechi za keshoView attachment 2424572
Tanesco wasikate sijui kama watatuachaMechi za kesho zote tamu
Naanza na hyo ya Morocco mchanaaa
Ila tanesco wasifanye yao tuu
Maza unaemsarandia eeh
Mzab we maza ako yuko wapi hadi unaish na WWaliachanna mzn
Ndo amekurithisha basiiWaliachana na mzeee, maana mzee nae kitombi hatari
Ndo naomba hapa isiwe hvooTanesco wasikate sijui kama watatuacha
Kabisa...the apple doesnt fall far from the tree😜Ndo amekurithisha basii
Wenzako wanarithishwa majumba wewe unarithishwa mhemko wa kupenda K 🤣🤣🤣🤣Kabisa...the apple doesnt fall far from the tree😜
Hahaha ndio hivyo bwana....ila k tamu ila sio tamu kuliko world cupWenzako wanarithishwa majumba wewe unarithishwa mhemko wa kupenda K 🤣🤣🤣🤣
Yanii world cup tamu sanaaaaHahaha ndio hivyo bwana....ila k tamu ila sio tamu kuliko world cup
Benzema anauwezo wa kucheza KWA sababu ni part ya kikosi na kocha hajafanya replacement yakeHawatocheza kwasababu sio sehemu ya kikosi