Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #361
Wamewasili nchini mwao wakitokea wapi? Mbona wameanza mbwembwe mapemaQatar wamewasili nchini mwao kwa ajili ya kombe la Dunia 🤣🤣🤣View attachment 2418637
Tuko pamoja ndugu makovu Scars .Kwa hiyo mzalendo wa kushabikia timu za Africa nitakuwa peke yangu humu?
Naona umechukukilia siriaz,haya kazi iendelee.Unahangaika VP kumkoti MTU ambae hana akili mkuu......watu kama hao ni unawapuuza unaendelea na mambo yako......sina akili hivyo usinikoti tafadhali
Katika zote nzuri ni C'EST LA VIE umeimbwa na CHEB KHALED.Wakuu Naomba kujuzwa official song world cup 2022
Africa hamna kitu somjo tuu mpira hatujui jinsi ya kuuendesha.
Ndio tujue kiwa tunachezaga ujinga tuu kwenye ligi zetu hizi.Yaani jumla ya wachezaji wote ni 832 ligi ya Africa inatoa wachezaji 8 tu , bado tuna safari ndefu sana kisoka naskia ligi za ulaya zaidi ya wachezaji 500+.
Kutokufizu tuu tayari ni indication tosha kiwa hamna kitu hapo. Africa bado sana hasa kwenye nyanja ya coaching na pia administration.Labda kama South Africa na Misri zingefuzu walau tungefikisha wachezaji 60 mpk 70
Tff soma hiyoooooooo. Tunakaa tunajaza foreigners tuu baadala ya kuendeleza watu wetu.Dondoo:
Hakuna timu yoyote ili iliyowahi kutwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia ikiwa na kocha wa kigeni
Hatari wacha washungu watese jameniDondoo:
Katika Fainali 21 zilizopita za Kombe la Dunia, timu za Ulaya zimeingia mara 19