Watawapeleka peponi...Mara paap Saudia wamechukua ubingwa sijui watapata zawadi gani??
Sababu hatumii bangi, madawa na matapu tapuOkocha mbona kama mdogo japo kastaafu soka kitambo. Mtafute sasa Haruna Moshi Boban popote alipo umuone
Leo naangalia mechi zote 4Mechi za keshoView attachment 2424572
Tanesco lazima wakulaze giza au wakushindishe gizaMechi za kesho zote tamu
Naanza na hyo ya Morocco mchanaaa
Ila tanesco wasifanye yao tuu
Dhambi hiyo, huyo ni mke wa baba yakoKabisa...the apple doesnt fall far from the tree[emoji12]
Mi mwenyewe niko upande wa Saudi[emoji23][emoji23]hautoamini, mimi naungana na wavaa kobazi wa Makka
Kuna dhambi ngapi nafanya mkuu hii nayo ikiingia kwenye orodha sio mbaya.
Over 1.5Kuna dhambi ngapi nafanya mkuu hii nayo ikiingia kwenye orodha sio mbaya.
Vipi lakini leo unaona morocco akitoboa?
Hupendi?Aisee kumbe jf kuna wanawake wanafuatilia mpira hatari[emoji44][emoji44][emoji44]
Hebu fuatilia kombe la dunia 2014 watu tulijadili sana hapa JF sema kuna watu siwaoni 2022.Ikute wengine washafariki dunia.Aisee kumbe jf kuna wanawake wanafuatilia mpira hatari😲😲😲
Kbe hapa naweza pata warembo wakwemda nao taifa kucheki magame ya yanga na simba...safi sana. Wee upo na timu gani world cup hii?Hebu fuatilia kombe la dunia 2014 watu tulijadili sana hapa JF sema kuna watu siwaoni 2022.Ikute wengine washafariki dunia.
Mbona tupo? JF ya leo ni kama kokolo imejaa majinga majinga mengi, tangu ile button ya share Facebook ilivyowekwa humu ndio tatizo lilipoanzia.Hebu fuatilia kombe la dunia 2014 watu tulijadili sana hapa JF sema kuna watu siwaoni 2022.Ikute wengine washafariki dunia.
Napenda sana kwanza natafuta mke mpenda mpira naona hapa jf naweza pataHupendi?
Mimi ni team France. Na team zote zitakazocheza against Brazil na Argentina.Kbe hapa naweza pata warembo wakwemda nao taifa kucheki magame ya yanga na simba...safi sana. Wee upo na timu gani world cup hii?
Jan umelala na mafuraha kibao. Mnamwaga mapande tuu.Mimi ni team France. Na team zote zitakazocheza against Brazil na Argentina.