Wa-german wakichukia kutoa kipigo kizito ni kawaida yao.Hakika hakuna timu nyepesi kwenye hii tournament...mwaka huu hakuna wa kubezwa mwaka huu...!
Ninakumbuka Saudi Arabia waliwahi kufungwa na Germany 8 kwa 0
Hawa mabishoo kwa muonekano tu ila shughuli yao ni ndefu sanaBrazil, mabishoo tuu hao safari
Ila we dada wewe, hahah.Hee uliyemtag nae si dume au ameshabadili jinsia?au nawe ni rainbow?
Wakishua 🤣🤣🤣🙌Hee uliyemtag nae si dume au ameshabadili jinsia?au nawe ni rainbow?
Wewe ni ndugu yangu. Niondoe hichi kiwewe.Wakishua 🤣🤣🤣🙌
We mfuate PM mhusika ukamuulize mwenyewe, mbona simple tu?Wewe ni ndugu yangu. Niondoe hichi kiwewe.
Mnafahamiana. Naomba kujua ni ke au m
BilaJamani mnaoangalia mech, mtupe matokeo
AsanteBila
Bila
Poa poaAsante
Portugal ndio inaongoza Europe kwa kuwa na Team work Mkuu na wanacheza kiteam sana na ndio sababu ya wao kushinda shinda hizi Euro...hata ile 10th June 2016 walipompiga France 1 hawakuwa na wachezaji wa maana ila Team work ndio anayoitegemea SantosNimejaribu kupitia uzi mwanzo mwisho, ninao washangaa ni wanaosema Argentina watabeba kombe, nikajaribu kuangalia kikosi cha Argentina
Kipa: hakuna world class hapo
Beki: mpaka Otamend anaaanza ujue kuna shida hapo
Viungo, : ni wachezaji wa kawaida sana hakuna WC midfield pale, labda wamuazime chama[emoji1]
Washambuliaji: hapa wanao WC japo wengi jua limezama ambao ni tegemeo.
Hii timu haiwezi kuifunga hata uholanzi.
Portugal: wana majina mengi na talent ila hawachezi kitimu wako hovyo hovyo mbinu hamna
England: Kile kikosi alichoanza nacho vs Iran kinauwezo kufika Fainali
France: hawa nawapa nafasi japo beki inakatika mno
Brazil, mabishoo tuu hao safari yao robo fainal