Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Spain wakiweza kua more solid defensively na wakina Morata wakawa more clinical Spain atakua msumbuf sana nusu atacheza.. Natak nimpime akikutana na Germany ambayo inahitaj matokeo baada ya kupoteza game ya kwnz.
Juzi tu kwwnye league of national alikaa uyo ujerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…