Alitoka Chelsea.Rudger yuko madirid wewe..walaumu madirid
Niliangalia ndio, Senegal wapo vizuri sana lakini haimaanishi kuwa Nerthelands ni wabovuuliangalia game yao na senegal
Walifungwa wote hao national leagueFrance, Netherlands, England n.k
Kibonde ukibamizwe mbele uko unaonekana awali ulicheza na wajinga zaidiSasa Brqzili alitolewa hatua gani?.huo sio ukibonde..ukibonde ni kubamizwa hivyo hatua za awali [emoji38]
Tunza maneno mkuu, usije ukakimbia uziTimu canada. Tunawabamiza
Ubeligiji sio chini ya goli 2
Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
[emoji1045][emoji1045][emoji1045]Team Belgium tujuane...
Nmekaa paleeeeTimu canada. Tunawabamiza
Ubeligiji sio chini ya goli 2
Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app