Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa wamepigwa kimoja hivi, basi watafunguka wapigwe nyingine hata mbili.
 
Kwakweli wachezaji wa Ubelgiji nao wamechoka, timu haina beki nzuri na hawana striker wa uhakika.

Batshuayi bado sana, hajatulia.
Hajatuliaaa eeeh[emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kakujib sa
 
Muhindi bado yupo na nyinyi msijuone kama mmepona
 
Alphonso anaweza wa cost wenzake kukosa Penalty.. Ingewapa moral zaid kupambana.

Mchezo ukishift dynamics Canada watajutia iyo penalty kukosa.
Yan haijachukua hata mda wamefungwa wao.

Canada kalewa sifa amejiona anaweza pishana na Belgium ss wamekufungwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…