Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa Nigeria alichukua 3,000,000 ya Mzee wake ya kodi akaenda weka bet Argentina ashinde, muda huu anaomba watu wamsaidie maana atajiua
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hajatuliaaa eeeh[emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kakujib saKwakweli wachezaji wa Ubelgiji nao wamechoka, timu haina beki nzuri na hawana striker wa uhakika.
Batshuayi bado sana, hajatulia.
Muongo 🤣🤣🤣🤣Hapana. Muhindi mtu poa sana anakurudishia 20k yako.
Namchukua mdogo wake tukanywe supu pamojaAtaulizaaaa
Na anaweza kukutunzia vitumbuo vyako
Ndipo shida ilipo ila kama ni boli wanapiga sanaUmaliziaji tu
Hawana utulivu pale mbeleCanada wanacheza vizuri sjui shida nini
Shida ni pale mbele tu, ona kama huyo jamaa mpira wa tapin yeye anapaisha.Canada wanacheza vizuri sjui shida nini
Ndo mda mzuri ku turboBatshuayi, nakushukuru..
Aya ngoja ninywe maji kidogo.
Yan haijachukua hata mda wamefungwa wao.Alphonso anaweza wa cost wenzake kukosa Penalty.. Ingewapa moral zaid kupambana.
Mchezo ukishift dynamics Canada watajutia iyo penalty kukosa.
Nafasi hawazitumii sanaShida ni pale mbele tu, ona kama huyo jamaa mpira wa tapin yeye anapaisha.
Huku sio malavidavi ni mbungi tu weeeKa Michy kahandsome kama goal lake 😂🤸
Nimeitest, dk 5 MB 200+ zimesepaMkuu mbs zinaenda haswaa sio uongo kumaliza mechi yote natumia more than Gb 1 kama na mbs 100 au 200
Wanaweza kurudisha kweli hawa?Ndo mda mzuri ku turbo