Ufunguzi utaanza mda gain?Wahenga walisema siku hazigandi.
Naaam ni November 20 sasa, siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia mwaka 2022.
Ni muda wa kupata burudani tuliyoingojea kwa muda mrefu sana!
Okrah yuko wapi si makolo walitamba humu kuwa wamesajiki chezaji la Wedi Kapu?
Hata kwa kubet, ujerumani ya sasahivi haiifungi Brazil, timu pekee inayoweza kuifunga Brazil kwa wepesi ni Argentina au FranceBrazil hamna kitu mule,wataishia kuuza sura tu.
Waombe wasikutane na Ujerumani...
Alisema Fatma Samoura, katibu mkuu wa Fifa raia wa Senegal. Na hajakosea, waafrika tuna tiba zetu nzuri tu za majeraha ya viungo na zinafanya kazi vema kwa ufanisi na haraka kuliko conventional surgeries.Kuna sehemu nimeona wanasema, Mane ataenda kutibiwa kwa mganga ili kusudi awahi michuano ya Kombe la Dunia.
Wasenegal wanasema iwe jua iwe mvua Mane lazima awepo Qatar
Lazma tutumie sayansi yetu vizuri😂😂
Jamaa kanishangaza kweli inaonekana hafuatilii trend ya soka. Yaani utopolo Ujerumani hii ya sasa ikaifunge Brazil? Jamaa anaota sio bure au anadandia na kufuatilia mpira kwa msimu.Hata kwa kubet, ujerumani ya sasahivi haiifungi Brazil, timu pekee inayoweza kuifunga Brazil kwa wepesi ni Argentina au France
Ronaldo anapocheza na wenzake wa Ureno wanaushirikiano na monkari ya hali ya juu sio kama akicheza na Mnaure wonderkidsWana kikosi kizuri ila wakimtegemea cr7 tu pale mbele wameisha huyu ni dk 5 tu za mwishoni timu ikiwa inaongoza
According to tangazo la dstv ufunguzi unaanza saa 5 mpaka saa 12Kumbe saa 7 basi sawaa
Saa 7 ya wapi? Ufunguzi unaanza saa 11 kwa saa za Afrika Mashariki (EAT)Kumbe saa 7 basi sawaa
Can I join u there???Mubasharaaa World Cup
2010 [emoji736] nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲
2014 sikuwa mubasharaaa
2018 nilikuwa mubashara chuo
2022 niko mubasharaa ghetoo [emoji1732]
Si wamesema masaa yanaendana? Pale juu nimeona mechi ya ufunguzi saa 7 au ?Saa 7 ya wapi? Ufunguzi unaanza saa 11 kwa saa za Afrika Mashariki (EAT)
Oooh kumbeeeAccording to tangazo la dstv ufunguzi unaanza saa 5 mpaka saa 12
Tujumuike wote hapo geto mkuu.Mubasharaaa World Cup
2010 ✅ nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲
2014 sikuwa mubasharaaa
2018 nilikuwa mubashara chuo
2022 niko mubasharaa ghetoo 🤸
Kumbe na ww shabiki kindakindaki,mi ya 2018 sikupenda timu zote zilizoingia fainali maana nilitamani kati ya Argentina au brazilMubasharaaa World Cup
2010 ✅ nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲
2014 sikuwa mubasharaaa
2018 nilikuwa mubashara chuo
2022 niko mubasharaa ghetoo 🤸
Utawakumbuka tuu wala usijali. Wee ni chaboli kweli kweli nakuaminiaZamani nilikariri wachezaji wengi mnoo wa timu mbalimbali kwa sas sijui kama nitaweza akili inawaza vicoba
Nataka nikisome kikosi cha Brazil na Argentina hao ndo favourate kwa sasa. 😆Utawakumbuka tuu wala usijali. Wee ni chaboli kweli kweli nakuaminia
Ww ni msaliti hatukutaki ushangilie ubaki hukohuko BrazilWinner atakuwa kati ya Brazil, Argentina, Spain or France...
Nitashabikia timu zote za Africa, ila zikicheza na Brazil, Africa itanisamehe nitashangalia timu yangu ya miaka yote Brazil 💛