Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna sehemu nimeona wanasema, Mane ataenda kutibiwa kwa mganga ili kusudi awahi michuano ya Kombe la Dunia.

Wasenegal wanasema iwe jua iwe mvua Mane lazima awepo Qatar

Lazma tutumie sayansi yetu vizuri😂😂
Alisema Fatma Samoura, katibu mkuu wa Fifa raia wa Senegal. Na hajakosea, waafrika tuna tiba zetu nzuri tu za majeraha ya viungo na zinafanya kazi vema kwa ufanisi na haraka kuliko conventional surgeries.

Kule Kagera kwetu, nenda Kigoma, wapemba, nenda Iringa, nenda upareni kuna watu wanafanya hizi tiba kwa usahihi kabisa za mifupa bila surgery.
 
Hata kwa kubet, ujerumani ya sasahivi haiifungi Brazil, timu pekee inayoweza kuifunga Brazil kwa wepesi ni Argentina au France
Jamaa kanishangaza kweli inaonekana hafuatilii trend ya soka. Yaani utopolo Ujerumani hii ya sasa ikaifunge Brazil? Jamaa anaota sio bure au anadandia na kufuatilia mpira kwa msimu.
 
Mubasharaaa World Cup

2010 ✅ nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲

2014 sikuwa mubasharaaa

2018 nilikuwa mubashara chuo

2022 niko mubasharaa ghetoo 🤸
 
Mubasharaaa World Cup

2010 [emoji736] nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲

2014 sikuwa mubasharaaa

2018 nilikuwa mubashara chuo

2022 niko mubasharaa ghetoo [emoji1732]
Can I join u there???
 
Mubasharaaa World Cup

2010 ✅ nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲

2014 sikuwa mubasharaaa

2018 nilikuwa mubashara chuo

2022 niko mubasharaa ghetoo 🤸
Tujumuike wote hapo geto mkuu.
 
Mubasharaaa World Cup

2010 ✅ nilikuwa mubashara nyumbani enzi za sekondari.. lilinitokaga chozi baada ya Asamoah Gyan kuvuruga 🥲

2014 sikuwa mubasharaaa

2018 nilikuwa mubashara chuo

2022 niko mubasharaa ghetoo 🤸
Kumbe na ww shabiki kindakindaki,mi ya 2018 sikupenda timu zote zilizoingia fainali maana nilitamani kati ya Argentina au brazil
 
I feel sorry kwa Karim Benzema
CCBC5A9F-539B-4243-B7EE-7804775DE69B.jpeg
 
Back
Top Bottom