Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hakuna cha kila kitu kinawezekana hao Ghana uwezo wao ni mdogo mno mno. Hata kama wakimfunga ureno hawafki popote.
Point ya leo wakiweza kushinda itakua vzr Pa1 sioni ilo likitokea lkn ikitokea ivo bas watajiweka pazr kufuzu 16, Pa1 kwl team yao ya kawaida sio Ghana ile 2010 hata kdg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…