Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata Interview zake nyingi huwa anasema....
Kukosa ile penalty bado kunamuumiza sana..

Yule Mpuuzi mmoja Luis Suarez alivyofurahi....Binafsi sijawahi kusahau usiku wa ile siku.
Mimi mpaka leo huwa najikuta namchukia tu. Nilizidi kumchukia mara 7½ yake alipohamia Barca yan ilikua kila inapofika El Classico na Barca akipoteza hiyo furaha yake usipime asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi penaty ile ilipatikana vipi mbona naona suarez analaumiwaga sana??
Nitaeleza kwa namna ninavyokumbuka wengine wanaweza kuongezea....

Ilikuwa kwenye 18 Kipa katika harakati zake golini...Mpira ukapigwa ilikuwa ni goli kabisa... Then Suarez akaudaka/kuushika...

Ikawa Penalt iliyopigwa na Asamoah Gyan akiwa katika Presha kubwa...Presha ya kutaka kuipeleka Ghana na Africa nusu fainali...

Bahati mbaya Asamoah alikosa ile penalt...
 
Ila kombe la dunia, dakika za nyongeza ni kuanzia tano kwenda mbele.
 
Beshti akee nilikua kwenye mihangaiko ndo nakam baki home. Kwema lakini? Hebu tukonsentrate huku maana Simba kule nia majanga [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mambo ni mingi Beshti.. Pole..
Kwema kabisa... Vipi wewe?

Aki Wallah... Simba itakuja kuwa chanzo cha Presha kwa wanasimba wengi siku moja....Sielewi..
 
Mambo ni mingi Beshti.. Pole..
Kwema kabisa... Vipi wewe?

Aki Wallah... Simba itakuja kuwa chanzo cha Presha kwa wanasimba wengi siku moja....Sielewi..
Tuvumilie tuu huku tukiiombea.
Huku kwema kabisa vipi wewe leo chama gani?.una timu yyt iliyokufurahisha leo?
 
Anachokufanya South Korea Ni kutuonya wanaokuja na matokeo yao mfukoni[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…