Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mimi mpaka leo huwa najikuta namchukia tu. Nilizidi kumchukia mara 7½ yake alipohamia Barca yan ilikua kila inapofika El Classico na Barca akipoteza hiyo furaha yake usipime asee.Hata Interview zake nyingi huwa anasema....
Kukosa ile penalty bado kunamuumiza sana..
Yule Mpuuzi mmoja Luis Suarez alivyofurahi....Binafsi sijawahi kusahau usiku wa ile siku.
Sent using Jamii Forums mobile app