Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sijaangalia mechi hata moja ajili ya Tanesco na Tbc[emoji23]
Itv enzi hzo japan Korea 2002 na Paris France 1998

ITV Enzi hzo ndio walikuwa wanaturushia matangazo yote ya world cup BURE KBSAA sijui wamekwama wapi wakongwe Hawa

kombe hili sas HV wilaya nzima ya kiteto inaoneshwa sehemu mmoja tu ofc za ccm

Nikaenda simanjiro pia inaoneshwa sehemu moja tu mrangi mmoja ndio anaonesha
 
...NA NGOZI NYEUSI TULIVYO WA HOVYO, YULE "MJINGA" ANAITWA ASAMOAH GYAN AKAKOSA ILE PENALT [emoji32][emoji32] NA ILIKUWA DAKIKA YA 93.
 
Hivi penaty ile ilipatikana vipi mbona naona suarez analaumiwaga sana??
Ghana walikua wanafunga goli Suarez alizuia kwa mkono makusudically. Mimeno akala umeme ikabaki kazi yetu kumaliza kazi kwenye penalty akapewa mzee baba Asamoah Gyan kasimama mbele ya mpira refa akapuliza kipyenga kuashiria penalty ipigwe jamaa kapiga kagongezha mwamba wa juu.

Kilichokera zaidi wakati tukio la penalty linaendelea Suarez alitakiwa awe ameingia ndani kwa sababu alikua amepewa red lakini baada ya penalty alionekana kushangilia sana kuonesha bet yake imejipa. Huku waafrica tukiunguza mkeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah nmeona kwenye iyo you tube jamaa anashangilia jinsi mkeka wake ilivyotiki. noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…