Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itv enzi hzo japan Korea 2002 na Paris France 1998Sijaangalia mechi hata moja ajili ya Tanesco na Tbc[emoji23]
Timu karibia zote za Asia.. wana discipline ya hali ya JuuWakorea wana discipline sana aisee
Kwa leo labda Ghana Beshti....Tuvumilie tuu huku tukiiombea.
Huku kwema kabisa vipi wewe leo chama gani?.una timu yyt iliyokufurahisha leo?
...NA NGOZI NYEUSI TULIVYO WA HOVYO, YULE "MJINGA" ANAITWA ASAMOAH GYAN AKAKOSA ILE PENALT [emoji32][emoji32] NA ILIKUWA DAKIKA YA 93.Bila Suarez Kujifanya Kipa aka-Punch ule Mpira Ghana ingekuwa inaingia Hatua Nyingine sababu alikuwa last man na ule mpira ungeingia nyavuni ilishakuwa extra Time; Kwahio kwa wa-Africa alikuwa ni Traitor (wa the Beautiful game) ingawa Uruguayans (La Celeste (The Sky Blue)) watasema otherwise.... (alikubali kupewa Red Card ili kuipa Timu yake Chance ya kuendelea..., Binafsi mimi naona Big Cheat alikuwa Gary Lineker aliye-dive kwenye Mechi na Cameroon hence kuwapatia England Penalty...
Defense nayo wako vizuri sana so farTimu karibia zote za Asia.. wana discipline ya hali ya Juu
Ghana walikua wanafunga goli Suarez alizuia kwa mkono makusudically. Mimeno akala umeme ikabaki kazi yetu kumaliza kazi kwenye penalty akapewa mzee baba Asamoah Gyan kasimama mbele ya mpira refa akapuliza kipyenga kuashiria penalty ipigwe jamaa kapiga kagongezha mwamba wa juu.Hivi penaty ile ilipatikana vipi mbona naona suarez analaumiwaga sana??
Huu mfumo naona ni wa defend sana1st 11 [emoji1110]View attachment 2426362
Andru ayew ndani duh1st 11 [emoji1110]View attachment 2426362
Daaah nmeona kwenye iyo you tube jamaa anashangilia jinsi mkeka wake ilivyotiki. noma sanaGhana walikua wanafunga goli Suarez alizuia kwa mkono makusudically. Mimeno akala umeme ikabaki kazi yetu kumaliza kazi kwenye penalty akapewa mzee baba Asamoah Gyan kasimama mbele ya mpira refa akapuliza kipyenga kuashiria penalty ipigwe jamaa kapiga kagongezha mwamba wa juu.
Kilichokera zaidi wakati tukio la penalty linaendelea Suarez alitakiwa awe ameingia ndani kwa sababu alikua amepewa red lakini baada ya penalty alionekana kushangilia sana kuonesha bet yake imejipa. Huku waafrica tukiunguza mkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwehu kweli na tabia yake ya kung'ata watu meno, kashfa za ubaguzi kati ya na Patrice EvraAliwaudhi watu wengi sana kwa kile alichofanya... Mwehu yule..
Yah....Nilimsikia pia....Head of Referees Pierluigi Collina alisema watahesabu kila dkk iliyopotea including subs, Var yan upotezaj wa mda wowote wanatk game zichezwe full 90 minutes.
Yule alitakiwa apigwe ban kabisa....Mwehu kweli na tabia yake ya kung'ata watu meno, kashfa za ubaguzi kati ya na Patrice Evra
Sent using Jamii Forums mobile app
Striker Embolo anacheza dhidi ya taifa lake🤣
Utafanana na yule jamaa aliyetaka kuwapa 100k CameroonBLACK STARS AT LEAST INA WACHEZAJ WAJANJA
KUDUS, PARTEY,INACK WILLIAM
HOPEFULLY WATAMFUNGA UYO URENO