Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ingewafunga hawa bila shida yoyote; Kiungo chao kilikuwa mambo yote yaani Gyan angekuwa mfungaji mzuri zaidi hata Fainali ingewe kufika....
Ghana walikua htr sn. Kizazi chao cha dhahabu ndo kishaisha naona kabakia andre ayew peke yake.
 
Ureno wanacheza counter attack

Kwa timu kubwa huku ni zaidi ya kuishiwa mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…