Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Si waliwaambia HD????Tbc quality mbovu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si waliwaambia HD????Tbc quality mbovu,
Ingewafunga hawa bila shida yoyote; Kiungo chao kilikuwa mambo yote yaani Gyan angekuwa mfungaji mzuri zaidi hata Fainali ingewe kufika....Ghana ya muntari, essien, appiah,gyan,kwado,silva,boateng ilikua htr sn.
Very unfairRefa anatoaka kadi kwa ghana tu
Mimi naangalia kwenye king'amuzi cha star times yaani Leo iko vibayaaNaangalia tbc kwny king'amuz cha azam. Yn ni hd na inaonyesha vzr sn .
Weee sokapooo MwaisaaGhana wanaboa kinyama,wafungwa TU[emoji34]
Ghana walikua htr sn. Kizazi chao cha dhahabu ndo kishaisha naona kabakia andre ayew peke yake.Ingewafunga hawa bila shida yoyote; Kiungo chao kilikuwa mambo yote yaani Gyan angekuwa mfungaji mzuri zaidi hata Fainali ingewe kufika....
Naangalia tbc kwny king'amuz cha azam. Yn ni hd na inaonyesha vzr sn .
Hii mechi itaisha sare hakuna mbabeGhana wameanza vizuri kipindi cha pili. Sema kufunga ndo vigumu. Watapigwa counter attack hawataamini. Watajutia nafasi wanazokosa wakifika huko karibu na goal.
Imagine Ronaldo anaruka vichwa huko wengine tunahadithiwa kisa hakuna umeme[emoji3064]
Uyo ndio best player wa Africa ajaye kwanza anasubir zawad ya ya goli Bora la mwaka alifunga yoan crufty arena kweny game ya ligi ya mabigwa barani ulayaAseee huyo kudos.. Bonge ya counter
Saizi iko poa sijui nini kilitokeaSi waliwaambia HD????
Karibu SuperSport.Tbc quality mbovu,
Star times wanazingua sn yn ukiangalia kdg tu kinasratch. Sijui hua wana shida gn haswaMimi naangalia kwenye king'amuzi cha star times yaani Leo iko vibayaa
Acha masikhara mkuu 🤣Naangalia tbc kwny king'amuz cha azam. Yn ni hd na inaonyesha vzr sn .